Jiunge Nasi

Anza kujaza taarifa zako za msingi

1
Taarifa
2
Thibitisha
3
Usalama
4
Chuo
5
Sheria
Herufi ndogo, namba na _ tu · 3-32 herufi. Nafasi itabadilishwa kuwa _
Tutatumia hii kukutambua. Haitaonyeshwa hadharani.

Tumetuma msimbo wa tarakimu 6 kwenye email yako.
Weka hapa chini kuthibitisha.

Angalau herufi 8. Tumia mchanganyiko wa herufi na namba.
Tafuta kisha chagua chuo chako. Kama hakipo, unaweza kuandika jina lake.

Kabla ya Kuendelea

Tafadhali soma na ukubali sera zetu kuendelea kujiunga na jukwaa.

au
← Rudi nyumbani

Kanuni za Jukwaa

Ili jukwaa letu liwe mahali pazuri kwa kila mwanachuo, tafadhali fuata kanuni hizi.

1. Heshimu Wengine

Heshimu maoni, mitazamo na maoni ya wanachuo wenzako. Hakuna matusi, kebehi, au unyanyasaji wa aina yoyote.

2. Andika kwa Lugha Nafuu

Tumia Kiswahili au Kiingereza. Epuka maneno machafu, kejeli, au lugha ya chuki kwa mtu, kikundi, au taasisi.

3. Weka Kwenye Kategoria Sahihi

Chagua kategoria inayofaa kwa thread yako. Hii inasaidia wengine kupata mijadala kwa urahisi.

4. Hakuna Spam

Usirudie kuchapisha mada hiyo hiyo. Usitumie jukwaa kwa matangazo ya bidhaa au huduma bila ruhusa.

5. Hakuna Maudhui Haramu

Hakuna maudhui ya ngono, ukatili, pombe, au madawa ya kulevya. Hakuna kushiriki habari za uongo au kudanganya.

6. Heshimu Faragha

Usishiriki taarifa za kibinafsi za mtu mwingine bila ruhusa. Hii inajumuisha picha, namba za simu, na emails.

7. Hakuna Udukuzi au Vitisho

Kutishia, kudhulumu, au kuhujumu mtu yeyote — iwe kwa maneno au vitendo — ni kosa kubwa.

8. Sheria za Tanzania Zinatumika

Kanuni zote za nchi yetu zinatumika kwenye jukwaa letu. Hakuna kuvunja sheria kwa njia yoyote.

Ukivunja Kanuni

Ukiukaji wa kanuni unaweza kusababisha onyo, kuondolewa kwa maudhui, kufungiwa akaunti kwa muda, au kufutwa kabisa kwa akaunti yako — kulingana na uzito wa kosa.

Sera ya Faragha

Tunathamini faragha yako. Hii ni sera yetu ya jinsi tunavyoshughulikia taarifa zako.

Taarifa Tunazokusanya

Tunakusanya taarifa zifuatazo unapotumia jukwaa letu:

  • Taarifa za usajili — username, email, chuo (optional)
  • Maudhui unayochapisha — threads, comments, picha
  • Taarifa za matumizi — IP address, browser, device

Jinsi Tunavyotumia Taarifa

Taarifa zako zinatumika kwa:

  • Kukupa huduma za jukwaa
  • Kuboresha huduma zetu
  • Kukulinda wewe na wanachuo wengine
  • Kukutumia taarifa muhimu (kama unakubali)

Usalama wa Taarifa

Tunachukua hatua za usalama kulinda taarifa zako. Password zako zimehifadhiwa kwa njia ya encryption — hakuna mtu (hata sisi) anayeweza kuziona.

Kushiriki na Wengine

Hatuuzi taarifa zako kwa mtu yeyote. Tunaweza kushiriki taarifa tu ikiwa:

  • Umeturuhusu
  • Inahitajika kisheria
  • Kulinda usalama wa wanachuo wengine

Haki Zako

Una haki zifuatazo:

  • Kufuta akaunti yako wakati wowote
  • Kuomba nakala ya taarifa zako
  • Kubadilisha taarifa zako
  • Kuuliza maswali kuhusu sera hii